Jun 18, 2016 · Wakati mfumo wa rajisi ya namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi unazinduliwa mwezi Desemba 2015, idadi ya namba tambulishi ambazo zilikuwa hazina viwango (bandia) zilikuwa sawa na 4% na zile ambazo zilikuwa zimenakiliwa (duplicates) zilikuwa ni sawa na 30%. Hii ikiwa na maana 66% ni sio simu bandia.
Jul 29, 2013 · Kauli inayokaribiana na hiyo imewahi kuandikwa pia na Naibu Waziri wa Wizara yenye dhamana na sekta mawasiliano kwenye mitandao ya kijamii katika siku za karibuni. Baadaye alifuata Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na sasa waziri mwenyewe.
Simu hii ina uwezo wa kusapoti mitandao ya 2g,3g na mtandao wenye kasi zaidi kwa sasa wa 4g na hivyo kukufanya kuwa na internet bora na yenye kasi zaidi kwa gharama ndogo tu.Pia simu hii ina uwezo au nafasi ya kuhifadhi files na data mbali mbali yenye ukubwa wa Gb 16 na huku ikiwa na sehemu ya kuweka memory pia ya ukubwa hadi wa Gb 200.
Limesema kuanzia kesho Wabunge watapatiwa taarifa za orodha ya shughuli za Bunge kwa kutumia simu, mitandao ya kijamii na barua pepe. Lengo ni kupunguza matumizi ya karatasi na kuongeza usafi katika dawati la Mbunge awapo bungeni.